Ushuhuda Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
imani huamisha milima
Na imani nawe ×2
Ninachojua ushindi ni lazma
Maan nipo nawe nipo nawee
imani huamisha milima
Na imani nawe ×2
Ninachojua ushindi ni lazma
Maan nipo nawe nipo nawee
Acha giza lije
Acha simba na dubu wasogee
Acha adui wanicheke
Rafiki wanitenge
Acha giza lije
Acha simba na dubu wasogee
Sitakata tamaa
Mana ninajua
Nipoo naweeeeee eeh
Utanionesha
Nisio yajua
Nami ntakusifu
Wewee ni Mungu
Utanioneeeesha
Nisio yajuaa
Name ntakusifuu
Weweee ni Munguu saaay
Utanioneshaa
(Nisiyoyajua)
Nisiyoyajua
(Naminitakusifu)
Naminitakusifu
(Wewe ni Mungu)
Wewe ni Mungu
(Utanioneeshaa)
Utanionyesha
(Nisiyoyajua)
Nisiyoyajua
(Nami nitakusifu)
Nami nitakusifu
(Weweeeeeh)
Wewe ni Mungu
(Eeeeeeee eeh eeh eeeee eee eeh)
(Nakuamini Bwana na nguvu zako oo)
(Unafanya zaidi)
(Unatenda zaidi)
(Come on somebody, wafanya zaidi)
Wafanya zaidi ya niyaombayooooh
(Mungu ninayekujua na kukuamini)
Watenda zaidi ya niyawazayo oooh
(Wewe wafanya zaidi yaa)
Wafanya zaidi ya niyaombayooooh
(Watenda zaidi yaa)
Watenda zaidi ya niyawazayo oooh
(Yesu wafanya zaidi yaa)
Wafanya zaidi ya niyaombayooooh
(Nimeomb moja umenipa kumi ndy mungu ninaye kuamini)
Watenda zaidi ya niyawazayo oooh
(Wafanya zaidi yaa)
(Wewe mungu wa upendo)
Wafanya zaidi ya niyaombayooooh
Watenda zaidi ya niyawazayo oooh
Utanioneshaa
(Nisiyoyajua)
Nisiyoyajua
(Naminitakusifu)
Naminitakusifu
(Wewe ni Mungu)
Wewe ni Mungu
Utanioneeshaaa
(Nisiyoyajua)
Nisiyoyajua
(Naminitakusifu)
Naminitakusifu
(Wewe ni Mungu)
Wewe ni Mungu
(Haya nimapito tu)
Utanioneshaa
(Huu sio mwisho wangu)
Nisiyoyajua
(Haya ni mapito tu)
Naminitakusifu
(Huu sio mwisho wangu)
Wewe ni Mungu
Maana Utanioneshaa
(Nisiyoyajua)
Nisiyoyajua
(Naminitakusifu)
Naminitakusifu
(Wewe ni Mungu)
Wewe ni Mungu
(Hee)
(Yesu wewee ni mungu wangu)
Wewe ni mungu
(Yesu wewee ni mungu wanguu)
Wewe ni mungu
(Unaniwazia meemaaa)
Wewe ni mungu
(Unaniwazia meemaaa)
Wewe ni mungu
(Utagawanya bahati nipite)
Wewe ni mungu
(Utavusha ngome nishinde)
Wewee ni mungu
(Nakujua wee ni mungu)
Wewe ni Mungu
(Nakuamini wee ni mungu)
Wewe ni Mungu
Umeandaa ushuhuda mbele yangu
Bwana wangu
Mungu wangu
Hii safari mimi nipo nawee
Nawewee, nawewee
Umeandaa ushuhuda mbele yangu
Bwana wangu
Mungu wangu
Hii safari mimi nipo nawee
Nawewee, nawewee
(Umeandaaa)
Umeandaa ushuhuda mbele yangu
(Bwana wangu)
Bwana wangu
(Mungu wangu)
Mungu wangu
(Hii safari)×2
Hii safari mimi nipo nawee
(Nawewee)×2
Nawewee, nawewee
(Umeandaaa)
Umeandaa ushuhuda mbele yangu
(Bwana wangu)
Bwana wangu
(Mungu wangu)
Mungu wangu
(Hii safari)×2
Hii safari mimi nipo nawee
(Nawewee bwana)
(Nawewee)
Nawewee, nawewee
(Umeandaaa)
Umeandaa ushuhuda mbele yangu
(Bwana wangu)
Bwana wangu
(Mungu wangu)
Mungu wangu
(Hii safari)×2
Hii safari mimi nipo nawee
(Nawewee)×2
Nawewee, nawewee
(Hii safari)
Hii safari mimi nipo nawee
(Nawewee)×2
Nawewee, nawewee
(Hii safari)
Hii safari mimi nipo nawee
(Nawewee)×2
Nawewee, nawewee
(Hii safari)
Hii safari mimi nipo nawee
(Nawewee bwana,nawewe)
Nawewee, nawewee
(Instrumentals)
Heeeeey