![Niongezee ft. Kimbunga Mchawi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/17/5e049d0201484cb19786eaf9177107c6_464_464.jpg)
Niongezee ft. Kimbunga Mchawi Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Niongezee ft. Kimbunga Mchawi - DWiN
...
Beat……
Tongwe records…
Waiter…
Naomba niongezeee……
Nipunguze mawazo……
Niongezeeeeee…….
Leta tena
Have ever fell in love
Umewah kupenda skia
Ubavu wako wa kushoto ukampa na wakulia
Ukaeka moyo kwa sahani af ukampakulia…
Ukamwambia
Yote unayotaka me ntakufanyia
Nilizama walah umauti uniite
Tafuta anapolala pembeni mimi unizike
Mana nikiwa nae basi kusikuche
Kesho isifike
Umewah kuona siku aiendi unasubili simu iite
Unaanza uliza why kweli haujai
Uongo aufai
Usiku ninakesha wapi usingizi hata
Haunisabai
Akili ilihsi moyo aufai
Moyo ulagai unagundua kuwa
All alone she lied
Ulidhani nyiwa kumbe mwewe
Waiter niongeze
Mmmh……
Nataka nilewe
Unaeza pendwa kiasi kwamba ukajihisi
Uko mwenyewe
Kumbe kuna wa kwanza
Wa pili
Wa tatu
Af ndo wewe
Waiter…
Naomba niongezeee….
Nipunguze mawazo
Niongezeee…..
Leta tena…..
……….
Yah
Have ever fell in….
Forget it umewah umizwa
Nje jua kali Sa mbona
Kwako giza
Hata mwanga ukirudi
Vivuli we unakimbiza
Unauliza mapenzi uliyakosea nini
Yanakuliza
Alafu upati jibu
Ivo Ndo nini
Moyo unaniadhibu
Dah
Hivi una nini?
Nyongo mkalia ini
Mwisho wako kashaubaini
Breki zilikaba
Zikachomesha dk 90….
So mwanzo break ur heart in 2
Kipande cha pili hukioni
Wenzake wakakwambia
Uko pekeako
Akat mko nyomi
Wakakwambia
Kusoma hujui hata picha uoni
Ila moyoni we unajua
Hutomsahau hadi shimoni
Pushaaaa….
Naomba ninyongee
Nipunguze mawazo
Nitembezeee……
Nyonga tena…..
………
Tongwe records