TALK TO ME Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Every day every time
Ukipiga simu hawapatikani
Searched everywhere But u cant find
Someone who can give you a little peace of mind (U need to talk but )
Watu wako busy
Bussy na makazi
Kutwa wanasingizia hawana mda wazi
Wakati mda mwingi wako online wanachat
Hawana hata kazi
Ni vile hawakutaki, like
Darling
Umetafuta na hupati
Mtu wakumwambia hupati
Kuna Mungu mpaji
Yeye hujibu kwa wakati
Umetafuta na hupati
Mtu wakumwambia hupati
Kuna Mungu mpaji
Yeye hujibu kwa wakati
Hawezi kukuacha on read
Hawezi sema sina normal txt
Hawezi singizia network
Ye whenever wherever he says you can talk to him
Mmmh mmmh mmmh....
Everytime you call his name
He replies
Everywhere no matter where
He comes on time
All the time you have been waiting
To get replied
No more that, ye hujibu kwa wakati
Like his own son
His ear open wide
He treats you very nice
Ye sio mwanadamu
Hawezi kukuacha kwa mataaa
Nasio utani
Kwake ni amani
Kwake ni amani
Yeah!
Darling
Umetafuta na hupati
Mtu wakumwambia hupati
Kuna Mungu mpaji
Yeye hujibu kwa wakati
Umetafuta na hupati
Mtu wakumwambia hupati
Kuna Mungu mpaji
Yeye hujibu kwa wakati
Hawezi kukuacha on read
Hawezi sema sina normal txt
Hawezi singizia network
Ye whenever wherever he says you can talk to him
Ume waste sana time kubembeleza watu wazima (you can talk to him)
wako oline wakiona txt yako data wana zima (you can talk to him)
Mungu ajibu fast than 911
Anapokea hata akiwa ofline
Everywere hata pasipo wifi
Everyday Everywhere