
Nayachukia Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Nayachukia - darkid
...
Mmmh
Mmmh
Mmh
Sawa nafuta namba yako sitokutafuta tena ,
Sitokupigia tena , na hata message sitotuma
Japo moyo wangu umegoma kumpenda mwengine ,
ila inanibidi tu niache kukupenda ,
We endelea tu na mambo yako sina shida na wewe mimi ,
ila asante sana kwa kuudanganya moyo wangu ,
Na asitokee mtu akasema ananipenda tutagombana
Maana nshachoka kuwa mjinga kila siku mimi tu wakudanganywa
Na sitaki tena haya mambo ya kupendana pendana
Yani moyo ndo ushakoma hamtoniona nikipenda tena
Bora nibaki mwenyewe, bora nijipende mimi
Bora niwe peke angu mimi
Pendaneni nyinyi
Nimewaachia nyie , Nimewaanyia Nyie
Haya mapenzi nimewaachia nyie
Yani mtu mmoja tu ndo amefanya mimi
Nayachukia mapenzi
Nayachukia mimi
Nayachukia mapenzi
Sitaki kupenda mwengine mimi
Nayachukia mapenzi
Sitaki tena nshakoma mimi
Nayachukia mapenzi
Yalaaniwe mapenzi, Yalaaniwe mapenzi
Ivi kwanini huwa tunapenda tusipo pendeka
Wenye mapenzi ya kweli mara nying ndo tunaoteseka
Hivi kwanini akijua unampenda anabadilika
Yani ukimuonyesha unampenda anaanza kukutesa
Nayachukia mapenzi , nayachukia mimi
Yana watu wake mapenzi ila sio mimi
Nimewaachia nyie , Nimewaanyia Nyie
Haya mapenzi nimewaachia nyie
Yani mtu mmoja tu ndo amefanya mimi
Nayachukia mapenzi
Nayachukia mimi
Nayachukia mapenzi
Sitaki kupenda mwengine mimi
Nayachukia mapenzi
Sitaki tena nshakoma mimi
Nayachukia mapenzi
Yalaaniwe mapenzi, Yalaaniwe mapenzi