Naenda KwaYesu Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2023
Lyrics
Duma eyeiyei, Ofpun bund
Aki wewe Mungu nasikia tu nimekupenda nahisi tu nimekupenda yani
Nakupenda mmmmmwah
Mie nimechoka na shida za dunia nimechoka na shida za dunia naenda kwa yesu (naenda kwa yesu)naenda kwa Yesu
Nyie ananichukia na bado nafanikiwa ananichukia na bado nafanikiwa upendo wa yesu (upendo wa yesu) upendo Wa Yesu
Maana, wewe ndiye Mungu
Unayenipenda mimi
Na unayenijali mimi nilivyo
Maana, wewe ndiye Mungu
Unayenipenda mimi
Na unayenijali mimi nilivyo
Ndio maana naja kwako
Maana upendo wako
Unanitosha mimi
naja kwako
Maana upendo wako
Unanitosha mimi
Nilikuwa nakukimbia Yesu
Nakutoroka Yesu..mimi
Ila leo umenipata ukaniweza
Maana, wewe ndiwe Mungu
Unayenijua mimi
Na mimi unayenipenda nilivyo
, wewe ndiwe Mungu
Unayenijua mimi
Na unayenipenda mimi nilivyo
Ndio maana naja kwako
Maana upendo wako
Unanitosha mimi
naja kwako
Maana upendo wako
Unanitosha mimi
Naenda kwa Yesu
(Ananiita)
Naenda kwa Yesu
(Ananitaka)
Naenda kwa Yesu
(Ananipendapenda)
Naenda kwa Yesu
(Ananiita)
Naenda kwa Yesu
(Ananitaka)
Naenda kwa Yesu
(Ananipenda mimi)
Naenda kwa Yesu
(Naenda kwake)
Naenda kwa Yesu
(Ananiita)
Naenda kwa Yesu
(Ananipenda)
Maana, wewe ndiye Mungu
Unayenipenda mimi
Na unayenijali mimi nilivyo
Maana, wewe ndiye Mungu
Unayenipenda mimi
Na unayenijali mimi nilivyo
Ndio maana naja kwako
Maana upendo wako
Unanitosha mimi
naja kwako
Maana upendo wako
Unanitosha mimi
Chuki za wanadamu haziwezizuia baraka ambazo Mungu amekuwekea
Katika maisha yako wakupende wakuchukie ufanye mambo mazuri ufanye mambo mabaya upotee ukuwe you njia sawa Mungu siku zote atakupokea na atakufanyia jinsi unatarajia katika
Maisha yako hata kama utajua ni Yeye amefanya ama hutajua ni Yeye amefanya atafanya tu kwa sababu yeye Ni Mungu anyetupenda sisi venye tu tuko katika maisha yangu
Legacy studio.