Susu Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Aha hii ni genge sahii bwana
Hii kitu ni noma oh ni wizzy
bwana huh sharit men viki,viki
Ulikula nini jana Ugaliiii
Ukaenda wapi jana Kanisaaa
Uka lala wapi jana Kwa kitiiiii
Tena uka fanya nini Nika susu
Ulikula nini jana Ugaliiii
Ukaenda wapi jana Kanisaaa
Uka lala wapi jana Kwa kitiiiii
Tena uka fanya nini Nika susu
Susu, susu, susu let's do
Susu, susu let's do
Susu let's do it
Susu let's do
Susu, susu let's do
Susu susu let's do
Susu, susu let's do
Susu, susu let's do it
Raaah!
Tuna kula pesa kama bangi
Maringo sura sura kama monkey
Kenyan girls on the floor
Babe show them how we glow
Girla twerk twerk twerk ona tiktok
Babe tell them am a king kong
Alama hizi hizi chiziii chiziii
Titi titi titi hizi hiviii
Mwaga hizi vitu ndani sitaki
Another thing mimi ni bangi
Mkono kwa mafugu abolu
Ordinari with the gang kuku
Ulikula nini jana Ugaliiii
Ukaenda wapi jana Kanisaaa
Uka lala wapi jana Kwa kitiiiii
Tena uka fanya nini Nika suss
Ulikula nini jana Ugaliiii
Ukaenda wapi jana Kanisaaa
Uka lala wapi jana Kwa kitiiiii
Tena uka fanya nini Nika susu
Mwanzo kuandika ngoma
Nilifundisha na mama
Nikakutana na wiz chain
Akasema mi mnoma
Mimi mnoma wacha!
Na ngoma ni ya dunda
Becky come we dance mmmh
Mimi ni mnoma wacha!
Na ngoma ni ya dunda
Becky come we dance
mmmmh mmmmh