Do Do Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Do Do - Fabi
...
Do Do - Fabi
It’s fabi
Once again
Aaaaa..
(Do do dodoo)x8
Upendo umenishika mwili unanipa vibe
Pili pili unaniwashawashaga
Kama barizi la bahari , wako mwiliii
Me sichomoki nishazama kiwili wilii….
Me nakwambia baby eeeh body kama hiyo
Wataitoa wapiiiii..