Freestyle 1 Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Freestyle 1 - Tonnie Boy
...
Baada ya kuwapa nafasi kidogo Leo et Unyama na wanatutisha,
No Fergie no bangs me nawakalisha,
Na tangu nimeanzisha movie ni ma picha picha ,
Utatukana wanafunzi na huwezi mgusa Teacher,
Nipo toka way back,
Enzi za Nature, Chege na swahiba’ke,
Na Mr.nNice Dully na swags zake,
Enzi za TMK men me na bring back,
Yeah, bado na rock na hunitoi tu kwa top ten,
Mistari kwenzi me nagusa wana complain,
Na ni unique mixer kwa flying pan,
Una mlilia EX unasahau maisha ni foleni!!
Huwezi michamo kwa fiesta,
Mwendo wa miguno kwa Redstar,
Natua Houston na kwesta,
Na jezi yangu red dream team Manchester.
Nikiwa na bang,
Huwa sipendi pisi nakula nyasi ki gang,
Asa wanaonidis na fisi wao ni king,
Asa hawanitishi na race ya human being,
I told you mother fuckers I can rap and sing,
Anzisha vita ya 3 huwezi ntoa kwa ring,
Story za kiwaki,
Na pisi Ndo sitaki,
InShot ka huwezi better kiss my sing,
Budapest!
Dharau zenu kwa Tv,
Napiga chini kisiki,
Insta story ni hivi,
Nivunje miguu ila bakiza Cv,
Ety nikuhonge milioni 20,
Sifanyi kazi za elfu 50,
Afu nikupe na 13,
Halafu mhuni me ghetto nalala chini!!!!
Wooooouh!
Enheee I’m outside!!
Tonnie boy
(Cough)
Paste to the hood!!
I’m not in the mood of the freestyle,
It’s how we do baby!!!