
Coming Home ft. Kanibal & Cheqbob Lyrics
- Genre:New Age
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Coming Home ft. Kanibal & Cheqbob - Benn G
...
Iyeleleee
Iyelele iyelele
Iyeleleee
I’m coming home
(Iyeleleee)
Oh Home
I’m coming home
(Iyeleleee)
Oh home
Mi narudu nyumbani
Nyumbani
Narudi nyumbani
Nyumbani
So many years ago
Nilikuwa mzigo kwa nyumba
Sikuwa na kazi za kufanya
Nikakutana na mavela
Tukaishi maisha ya kisela
Mambo hayakuwa sawa
Hatukupiga shower
Ahh..
Kwa mlo mmoja kimoja
Mkate mate ndo soda
Wa ku change njia kwa madeni
Kijana nilotoka uzeeni
I’m coming home
Oh home
I’m coming home
Oh home
Narudi nyumbani
(Iyelelee )
Nyumbani
(Iyelelee)
Mi narudi nyumbani
(Iyelelee)
Nyumbani
(Iyeleleee)
Mi narudi nyumbani
(Iyeleleee)
Nyumbani
(Iyelelee)
Mi narudi nyumbani
(Iyelelee)
Nyumbani
Basi nionhezee mwendo (nionhezee mwendo)
Ili nivuke ng’ambo (ili nivuke ng’ambo)
Nimewamisi home
I’m coming home
Nikakutana na mavela
Tukaishi maisha ya kisela
Mambo hayakuwa sawa
Na sikupiga shower
I’m coming home
Oh home
I’m coming home
Oh home
Narudi nyumbani
(Iyelelee )
Nyumbani
(Iyelelee)
Mi narudi nyumbani
(Iyelelee)
Nyumbani
(Iyeleleee)
Mi narudi nyumbani
(Iyeleleee)
Nyumbani
(Iyelelee Iyelelee)
Mi narudi nyumbani
(Iyelelee)
Nyumbani
(Iyeleleee)