
Mapenzi ft. Nadia Mukami Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Mapenzi ft. Nadia Mukami - Jaysoul
...
Kenda wangu tulia usije ukajipa kiwewe nakushughulukia japo nitapata nielewe hapa nilipo yapo masaibu najikaza bila malipo upendo wako nipe Bure kwengine furaha zaidi yako sijapata Mimi ooh
nimetembea nimefika mwisho sijapata mwingine Hali na Mali unipende mie
na kama ni kesi achana iwe Bora ukinivumilia mi naimani tutafika weeee
mapenzi ×2uuh uhh
kupendwa....napendwa uhhhh aaah
......,.......... . ............
mapenzi nishaweka kituo gari imefika mwisho
nakuenzi together milele sio kama before I wanna take you places you've never been
I will give you love that you have never had.. your my lover,my hunny,my sugar,spice and sherry Hali na Mali unipende mie kama ni kesi achana iwe Bora ukinivumilia mie na Imani tutafika
..............
mapenzi...uuh uhhh
kupendwa... napendwa uhhh