Goal$ Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2023
Lyrics
Goal$ - Rapsick Huslife 9teen_3rty8
...
9teen Goal inaflame ka burner, stay on your lane ka farmer Yes we can alidai Obama, Stick kwa Plan ka Data. ikikam Naitake na ubaya, Na ni yangu sioni haya Goal inaflame ka burner, stay on your lane ka farmer Yes we can alidai Obama, Stick kwa Plan ka Data. ikikam Naitake na ubaya, Na ni yangu sioni haya. al inaflame ka burner, stay on your lane ka farmer Yes we can alidai Obama, Stick kwa Plan ka Data. ikikam Naitake na ubaya, Na ni yangu sioni haya Kaa ni yangu sioni haya, ikikam naitake na ubaya Yes we can alidai Obama, stick kwa plan ka data Sometimes me nafeel tu crazy, matime na mood ziko lazy, Time inaflash na nadai kushift. Joh niko cheng nadai ma lift. Right on time, tumefika leta hio mic, na uchill tu kando please Ka unajua lazma unajua, ka ujui lazma utatambua Matha ni matha na si karua. Kam bishana ukiwa sure Bro be sure, kwa hii Oblo si ndio ubonga. Watakam kutry, dont listen man wanahonk Dream ni dream na either way lazma wa talk Goal inaflame ka burner, stay on your lane ka farmer, Yes we can alidai Obama. Stick kwa plan ka data. Ikikam naitake na ubaya, na ni yangu sioni haya. Goal inaflame ka burner, stay on your lane ka farmer, Yes we can alidai Obama. Stick kwa plan ka data. Ikikam naitake na ubaya, na ni yangu sioni haya. Kaa ni yangu sioni haya, ikikam naitake na ubaya Yes we can alidai Obama, stick kwa plan ka data Lower your tongue, ukifeel unatrip, ni figure najaza kwa bank si beef, Rada ka Kibe ukisaka ma Tip. Ka inakubamba relate, ka ikubambi usinirate Ukidai kunifanyia favour, kindly stay on on your lane. Snitch akipata stitch of course atarun atarun ku sue Na ka unalisten skiza line lazma zistick ka glue. Usilipe attention. tunarun hii 254, si mastar lazma tutatwinkle infont of your eyes, si must tu mingle. We kwa corner unabonga nini? Na kwa mbosho umejaza ma CD? Ushaicheki key ya mercedes. Unacheza attack ama defence? Trap n drill unajua the difference? Goal inaflame ka burner, stay on your lane ka farmer, Yes we can alidai Obama. Stick kwa plan ka data. Ikikam naitake na ubaya, na ni yangu sioni haya. Goal inaflame ka burner, stay on your lane ka farmer, Yes we can alidai Obama. Stick kwa plan ka data. Ikikam naitake na ubaya, na ni yan