Kimende Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2017
Lyrics
Kimende - KENI DON
...
Yeah…. Yeah…. In-house empire… Ekkeheem
Chorus
Tuna tamba Kimende vile line zetu genje, venye line zetu genje
Tuko mbele kimbele story bado ni sembembe, story bado ni sembembe
Si ukuja kerende ka rada usi bebwe, ka rada usi bebwe
Tuko wengi ki genge Keni Don ongeza Don ongeza Gene
Muko wengi but sioni crowd, kwenye rap game niko so proud
I never left I’m still around, cheki mabeste wame black out
Wako indoors wako In-house, bila ganji wana saka spouse
Me na party call it boyz out, mambo ni safi usifinye pause
Tingisha booty dj pewa tot, Hao machizi wasi gun pop
Wakunywe whisky shika Crazy Cock Pewa mziki me na detox
Iwe kwa dance floor ama parking lot uki climax tuna get a walk
Nta ku climb high please touch your toe, ni Keni Don verse 1 na sign off
Chorus
Tuna tamba Kimende vile line zetu genje, venye line zetu genje
Tuko mbele kimbele story bado ni sembembe, story bado ni sembembe
Si ukuja kerende ka rada usi bebwe, ka rada usi bebwe
Tuko wengi ki genge Keni Don ongeza Don ongeza Gene
Bila socks bila rubber, kwa ring me ni one man
Staki lose nishike dada kwako nangoa nanga
Wacha panganga shika mkwanja mishikaki ndio tuna manga
Weni msafi ka panga na go Live vua anda
Ni swim low ka mamba uki stuck nta ku jam start
Drop down do the twerk sita kuficha niko full swag
Kahawa java na njugu karanga ndio nime manga
Leo ni wagwan uki kaa mbaya utapiga ma sama
Hakuna alama bebi usiweke lawama
Mzee akileta umbeya pia unaweza hama
Come come mam wacha a jam, Nime kudata kama fiber
Staki love ni 1 night stand 6.30 tena ndio masaa
Chorus
Tuna tamba Kimende vile line zetu genje, venye line zetu genje
Tuko mbele kimbele story bado ni sembembe, story bado ni sembembe
Si ukuja kerende ka rada usi bebwe, ka rada usi bebwe
Tuko wengi ki genge Keni Don ongeza Don ongeza Gene
Eee
Nawa check 1..2..bila mic nawaroga, hawana afya ma toast hawatoshi mboga
Visirani mafisi na ni waoga, Generali rahisi wana ni bonga
Fanya hima twende sambamba ama wakisleki me nawaramba mkamba
Sina jina ila number na gamba namwaga vina nawa bamba haha
Niko waba hizi drinks me na boogia tuko Nai hadi Busia
Na dame yako kwangu me ame tulia juu yake nita sinzia
Kaa chonjo si uishi tuki kulia. Mziki yangu huwezi bania
Ni commercial bado me niko macho kufkuza tuu mabandia