Shy ft. Sai Kenya Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Am in love acha nikupende tuu
Sijalazimishwa kuwa nawewe
Ila ni vyako vitu
Hoo am in love nifike mwisho nawe tu
Sijalazimishwa kuwa nawewe
Ila ni mapenzi tuuu
Kuwa mbali nawe siwezi
Sio utani sio mchezo
Even you look at me
Hatari sio mchezo ooh yeeeyee
Unakitu kinanituliza aah
Ukinipa ndounanimaliza aahaa
Utamu umezidi hata miwa hata miwaaah
Baby i will feel shy
So shy
Oooh so shy
Mwenzako nikikuona mie hoi
So shy
Ouooh ooh oohoo
Ukinishika mimwenzako sichomoi
So shy
Mmmh mh mmmh ongeza tu izo mbwembwe
So shy
Sooo shy mmh mh mmmh mh
Moyo utanisutaaah nikikucheat nikakuacha walahi
Tena nitajuta maaana weunanifanya nifurahi
Tena baby unanipa vitamu
Chochote nikitaka miunanipa vitamu
Tena baby penzi lako tamu
Kweli naenjoy mimi napata vitaaamu
Unakitu kinanituliza aah
Ukinipa ndounanimaliza aahaa
Utamu umezidi hata miwa hata miwaaah
Baby i will feel shy
So shy
Oooh so shy
Mwenzako nikikuona mie hoi
So shy
Ouooh ooh oohoo
Ukinishika mimwenzako sichomoi
So shy
Mmmh mh mmmh ongeza tu izo mbwembwe
So shy
Sooo shy mmh mh mmmh mh