
Single Mama Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Single Mama - Petro Jailos
...
.......
yeeee×2
ooooh babaaa
mmmmn
ilikua haraka mwanzoni alipopata wewe malikia
.......
kikoba Cha zawadi kwake ulipokeaaaa
.......
mmmmmm
maana ulitazama penzii ukiamini ni wako
wakoooo
miaka na Karne zikapitaa mambo yakabadilikaa mamaa
watoto uliozaa nae wewe ndio unahudumia
ooooh no no nooo
single mama simaa watoto wanakutazama
awapo na baba wewe ndo wa kuwaonyesha mwangaza
single mama sima watoto wanakutazama
..........
awapo na baba wewe ndo wakuwaonyesha mwangazaa
I'm talking to you single mamaa
maisha yanabadilikaa
mmmmn
sio vitani ni ushujaa don't give up pambanaa, pambanaaaa eeeeeh
hazina ya upendo uko nayo usiwaweke moyoni wanaokususia mamboo
wewe jali wanao hata Kama umekosa kesho utapata hata kidogoo×2
mmmmmm kidogooo
...
single mamaaaaa
single mama simaa watoto wanakutazama
.........
awapo na baba wewe ndo wakuwaonyesha mwangazaa
single mama simaa watoto wanakutazama
........
awapo na baba wewe ndo wakuwaonyesha mwangazaa
.......
uwenda na hii Dunia imelala upande wako na pia hizi shidaaa zimeganda juu yako
manabii walishasema hii Dunia si rafiki wakumuaminiii, Mungu tu wakutunusuruu
Dunia imehasi, maovu yamezidi, kila mtu amezamaa kwenye shimoo
single mama amkaa, we muamini Munguu
Shida yako hakuna wakuitetea ila yeyeee
................