
Neema Yako Lyrics
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Neema Yako - Rehema Simfukwe
...
Haya ni maombi yangu kwako
Wote ninaowapenda wasipitwe
Na NEEMA yakoo*2
Basi ikiwa ipo ahadi
Ya kuingia rahani mwako,Sitaki kukosea
Na niwapendao
Haya ni maombi yangu kwako
Wote ninaowapenda wasipitwe
Na NEEMA yakoo*2
Basi ikiwa ipo ahadi
Ya kuingia rahani mwako,Sitaki kukosea
Na niwapendao
Funua NEEMA yako, Familia yangu ikujue
Funua NEEMA yako, Marafiki zangu wakujue
Funua NEEMA yako, familia yangu ikujue
Funua NEEMA yako, Mataifa yote yakujue
Ohoo ooh oh
Haya ni maombi yangu kwako
Wote ninaowapenda wasipitwe
Na NEEMA yakoo*2
Basi ikiwa ipo ahadi
Ya kuingia rahani mwako,Sitaki kukosea
Na niwapendao
Haya ni maombi yangu kwako
Wote ninaowapenda wasipitwe
Na NEEMA yakoo*2
Basi ikiwa ipo ahadi
Ya kuingia rahani mwako,Sitaki kukosea
Na niwapendao
Funua NEEMA yako, Familia yangu ikujue
Funua NEEMA yako, Mataifa yote yakujue
Funua NEEMA yako, familia yangu ikujue
Funua NEEMA yako, Mataifa yote yakujue x 2
Nisipitwe na NEEMA yakooo x 3