Ukuu Wako (Live) ft. Witty Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ndimi zinakiri, anga yatangaza
Siku zinanena, ujumbe wako ehh Bwana
Mbingu zahubiri, utukufu wako Mungu
Sote tunaona, kazi yako ehh Bwana
Asubuhi mpaka jioni, jana leo hata milele
Vizazi juu ya vizazi, havitakoma ku-utangaza
Ukuu wako, nguvu zako
Wema wako, asubuhi hadi jioni
Ukuu wako, nguvu zako
Wema wako, leo jana na hata milele
Uwezo wako ni dhahiri, wewe ni Mungu wa milele
Hakuna akupingaye, we Jemedari ehh Bwana
Usemi wako ni sahihi, hekima yako ni zaidi
Hauna mshauri, haufananishwi ehh Bwana
Asubuhi mpaka jioni, jana leo hata milele
Vizazi juu ya vizazi, havitakoma ku-utangaza
Ukuu wako, nguvu zako
Wema wako, asubuhi hadi jioni
Ukuu wako, nguvu zako
Wema wako, leo jana na hata milele
Ukuu wako, nguvu zako
Wema wako, asubuhi hadi jioni
Ukuu wako, nguvu zako
Wema wako, leo jana na hata milele
Kama si wewe mengine, ni sanamu ni sanamu
Ulimwenguni kote, wewe ndiwe Mungu pekee