I Love you Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2023
Lyrics
I love you i love you nakupenda sana×2
Wangu moyo moyo wangu kwako nimezamaa ×2
I love you i love you nakupenda sana ×2
Vile nikikuona ahh
Uzuri wako maashallah
Moyo wangu unadunda paah
Unatulia nakuzimikia sitaki nikupoteze lah
Me kwako break nimefunga
Me kwako mtumwa ahh
Umeniteka umenifungiaaa
I love you unanichanganya
I love you me kwako nimezama
I love you kwenye kinanananaaa
I love you me kwako nimezama
love you i love you nakupenda sana×2
Wangu moyo moyI o wangu kwako nimezamaa ×2
Nikuite jina gani mah
Maana yote nishamaliza
Me kwako mtoto laah
Me naogopa wataniibia kaambali na masponsor
Watakutumia nakukuacha nakupenda milele daima
Nakuapia kamwe hutojutiaaa
I love you i love you nakupenda sana×2
Wangu moyo moyo wangu kwako nimezamaa ×2
I love you ×4
Lololololo
Vile nikuona ahh uzuri wako maashallah
Moyo wangu unadunda paah unatulia nakuzimikiaa