Nikupende Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Oya wana wana , wana Leo kimeumana
Huyu dada bhana , me nampendaga kinoma
Ona amesimama , moyo wangu umepoa
Nshaumia sana , Leo naacha kona konaa
Why do me like that kukupoteza mi staki , Eti mi sina kasmart Nitakukosa .
Why do me Like that kukupoteza mi staki , Nmeshaacha na uLafi sitakuchezea ,
CHORUS
( Labda nkuulize tu )
WouLd you be my babe,
Would you be my sweetheart ,
Would you be my babe ,
( Npo radhi nkutunze tu )
WouLd you be my babe,
Would you be my sweetheart ,
Would you be my babe ,
( Acha mimi nikupende tu )
( Nikupende tu ) ×2
Na ukinisogelea , nashindwa hata kuongea ,
Domo Lanyong'onyea ,
Aibu najionea .
Ntakupata vipi , Mtoto hushikiki ,
Viwango vyako vya juu ,
Na wala hauna makuu .
Nachanganyikiwa your body ,Twende tukaishi Hollywood ,
Nikipata chance nafasi ,
Ntakulinda kama polisi ,,
Why do me like that kukupoteza mi staki , Eti mi sina kismart Nitakukosa .
Why do me Like that kukupoteza mi staki , Nmeshaacha na uLafi sitakuchezea ,
CHORUS
( Labda nkuulize tu )
WouLd you be my babe,
Would you be my sweetheart ,
Would you be my babe ,
( Npo radhi nkutunze tu )
WouLd you be my babe,
Would you be my sweetheart ,
Would you be my babe ,
( Acha mimi nikupende tu )
( Nikupende tu )
Reven Star