Mungu wa Ishara Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Mungu wa ishara, nina imani nawe
muweka angano, nina imani nawe
Mungu wa ishara, nina imani nawe
muweka angano, nina imani nawe
Mungu wa angano, nina imani nawe
Historia imedhibitisha, unatunza angano
Hakuna neno litokalo kwako bure
wewe unatimiza, ukisema utatenda
mwaminifu milele
Mungu wa ishara, nina imani nawe
muweka angano, nina imani nawe
Mungu wa ishara, nina imani nawe
muweka angano, nina imani nawe
Ulisema utanibariki, kikombe changu chafurika
uliahidi utaniponya
makovu sasa ni ishara
mungu mwaminifu, kizazi hata kizazi
Mungu wa ishara, nina imani nawe
muweka angano, nina imani nawe
Mungu wa ishara, nina imani nawe
muweka angano, nina imani nawe
Nilioyasikia, nayaona kwa macho,
nashuhudiia nimedhibitisha
nina ujasiri nawe
eeee
Mungu wa ishara, nina imani nawe
muweka angano, nina imani nawe
Mungu wa ishara, nina imani nawe
muweka angano, nina imani nawe
na nana nana na na
nana nana na weoo
nananana na weo
Historia imedhibitisha
unatunza ahadi eeeh
Mungu wa ishara, nina imani nawe (mpasua bahari)
muweka angano, (mtuliza dhoruba) nina imani nawe
Mungu wa ishara, nina imani nawe
muweka angano, nina imani nawe