Badilika Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Waambaje, Uhali gani mwandani
Ni machweo, Huko karibu nami
Miezi minne, Tangu sisi tuachane
Nakuomba, Uje turudiane
Natamani uwe karibu
Take a quick look in my eyes
Mi si, Mwongo tena
They say, eyes never lie
Mi ni, Mwongo tena
They say, eyes never lie
Nimebadilika, Nimebadilika
Mi si, Mwongo tena
Nimebadilika
Nimebadilika, Nimebadilika
Mi si, Mwongo tena
Nimebadilika