
Maji ft. Noel Grass & Israel Onyach Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Siondoke kwanza wacha nkwambie niwachie nafasi yangu moyoni
Niamini ukiwa mbali nami kifuani kuzito sipati kutulia.
Ukiondoka basi usiende na kasi
Niko sawa baby nipe wakati
Tusiende na umati tukabaki na maswali
Vile yaani
We ndio nani
Hapa wapi twafanya nini
Niwie radhi
Sikutamani nilivyo dhani
I swear niko happy im only happy ukiwa nami
Na maji iko kwenye glasi
Sijamaliza
Na bado unazipitisha
Zimenishika sidhani home tunafika
Maaaji (tafadhali) nioshe kwaa bahari (nizame ndani ) nizame ndani
Hapa wapi usiende mbali tafadhali baki nami ukiwa happy