
Tawile Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Tawile - Homiy
...
oyeyee yee yeeah ooh oho
leo kazi mitaa imefunga mje na matarumbeta
watu shazi napita namwona mtoto anamelemeta
nashtuka iyeeh!
watoto Ni wengi weeh
mweupe pee macho yamemuona yeye
na ukikacheck sura n romantic
uko kichwani mabombastic
mabonde mabonde kwenye hips halo weeh
ndumba limekolea nishapewa na sit nafeel good kuwa majesty hadi couple ishapata mashabiki halo weeh
acha niwe nae Leo na baadae
sio mapenzi ya toka nikae atanionea
mpka washangae
tena nyota ing'ae sio mapenzi ya toka nikae atanionea
nakupenda Sana Tawile Tawile
limekolea na Tawile Tawile
ilizi imekaza Tawile Tawile
ushanijaza Tawile Tawile