Sawa Lyrics
- Genre:Ndombolo
- Year of Release:2022
Lyrics
oooh nana nanaa
iyee iyee
hmmm hmmmm
Penzi sio la muda mfupi
nilipungukiwa kipi?
si ungesema niandikiwe kifo we ni gaidi
mji mwema wa mapenzi moyo wangu basii
basiii moyo basi, kama mapenzi ni upofu
mi kwake chongo sioni sioni mi sioni
moyo ameuacha na kovu amenipa donda moyoni
moyoni moyooonii
mi natamani, Nisingemjua jina, jina
tafarani, Ameniacha mazima iyeeeh
Nikimtazama nalia nalia, naumia naumia
nikimfikiria nalia nalia, mimi
kuna muda bwana, Namchukia chukia namchia chukia
sitaki hata, kumsikia sikia mimi iyeeeeh
sawa, sawa
nimekubali mama
sawa, sawa
upendo wangu ummegeuka mateso
sawa, sawa
nimekubali mimi
sawa, sawa
we nenda mama, nenda wewe nenda hmmmmm
amenifanya rafiki wa machozi
mi nalia lia mi naumia sana
mapenzi homa amenipa kikohozi
mi nampenda ila ananikatisha tamaa
jeraha roho la roho kupona ni wala
sawa ooh sawa ooh sijawa kinara
jeraha roho la roho kupona ni wala
sawa ooh sawa ooh sijawa kinara
mi natamani, Nisingemjua jina, jina
tafarani, Ameniacha mazima iyeeeh
Nikimtazama nalia nalia, naumia naumia
nikimfikiria nalia nalia, mimi
kuna muda bwana, Namchukia chukia namchia chukia
sitaki hata, kumsikia sikia mimi iyeeeeh
sawa, sawa
nimekubali mama
sawa, sawa
upendo wangu ummegeuka mateso
sawa, sawa
nimekubali mimi
sawa, sawa
sawa, sawa