![Mate](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/20/e9dddd273ae34ab89d14901054a9b601_464_464.jpg)
Mate Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mate - Ollachuga
...
Yeah you know what is baby
*No mate hamna mate mingi sa hii
*Ni vitendo tu vinaongea
*Mate shazi no, RHYMESHOOD baby
*OLLACHUGA...
"
*Staki mate
* Umenikuta kwa kona naungua kwanini unifate (fate)
*Punguza mate unijui sikujui kama vipi jikate (katee).
*Mate kama demu anakuona wanini yanini mwache.(mwache)
*Nilisota mtaani mambo mbaya
*Jua kali mfukoni wayawaya
*Akanikacha skani ki boya
*Nilidhani honey kumbe liar
*Ohh my sweet papaya
*Pisi kali flani kumbe kabaya
*Mtoto mzuri, macho umbo sifuri
*Kidari wima kama bikari
*Akanitema kisa mi sina gari
*No pari ,Mali, nyumba na kazi
*Jah katia baraka saivi bata kama kazi
*Kama kazi ni wazi ni kazi na bata
*Kwanza ukome kunifata
*Nilivyokuita Si ulinata,
*Kaa mbali nami takutia mambata.
*Hakuna drama usinifate fate
*Nipo na wangu kama vipi jikate
.CHORUS
Mate)*2 wakushi hatupendagi mate
Mate )*2 Wahuni. hawapendagi mate
Mate)*2 Mabosi hawapendagi mate
Mate)*2 Warembo hawapendagi mate.
"
VERSE 02.
*Acha lomoni mingi utabondwa
*Kama mzinga nyagi utagongwa
*Hii Arusha chalii utanyongwa
*Watu kazii kazi tumezongwa
*Kama unajenga jenga acha mate
*Utafanya wazee wakufate
*Hayo mapene na mbera wakukate
*Watu wachanje na shada ziwake
*Harakati zinasonga hivyoo
*Ukifanya fanya kimya kimya tu broo
*Iwe mtaa au kwenye mtandao
*Maneno yashawaponza wanangu kibao
*Wanaoshoboka na mishe za watu
*Walio omoka kwa dili za fyatu
*Watu wamesota uliza viatu
*Wamemeza ma unga utadhani ni chatu
*Ili mradi washike hii kitu sarafu
*Unakuja kubonga bonga mauchafu.
*Utapigwa mashaba ukachili na wafu.
*Oya ukachill na wafu..