Ngoma na Ngozi Vigoda ft. Paul Nhiga Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
deciBrOs again
Pendo lao, linanitafakarisha
Sikujua sijajua sikuwaza hilo
Ila ndio ila ndio
Uwepo wao, ulinivusha na kunipa
Ushujaa ndani ya moyo
Sasa najua nilipotoka(eh eeh)
Ngoma na ngozi vigoda
Ngoma na ngozi vigoda
Sime tumekua nazo
Ngoma na ngozi vigoda
Ni ufahari na uzuri wa historia yangu
Ngoma na ngozi vigoda
Ngoma na ngozi vigoda
Sime tumekua nazo
Ngoma na ngozi vigoda
Ngoma na ngozi vigoda
Ngoma na ngozi vigoda
Nafurahi nilipata nafasi
Kutoka kwenye uzao wa hodari iih
Nafurahi nilipata nafasi nafasi
Toka kwenye uzao wa hodari iih
Ngoma na ngozi vigoda
Ngoma na ngozi vigoda
Ngoma na ngozi vigoda
Ngoma na ngozi vigoda
Ngoma na ngozi vigoda yeah
Huwezi kujua unakokwenda
Kama hujui ulipotoka
Hii ni kwa ajili ya wote waliowahi kuishi
Wakatuwekea misingi
Na humu ndimo tunapata utambulisho wetu
Sisi ni wa Africa, wa Africa
Wengine walipata
Wengine walikosa
Wengine walikufa
Wengine walipona
Wengine waliweza
Wengine walishindwa
Ila zaidi wametujenga
Wengine walipata
Wengine walikosa
Wengine walikufa
Wengine walipona
Wengine waliweza
Wengine walishindwa
Ila zaidi wametujenga(mhh)
Ujasiri niliojifunza humu
Ustadi na akili ya kudumu
Mwanaume nitaleta chakula nyumbani
Na nitaitunza familia
Uoga hudhalilisha ukuu
Hofu huzibabaisha njumu
Umasikini ni kuona wa nje ni bora
Kuliko nyumbani mwako
Nafurahi nilipata nafasi
Kutoka kwenye uzao wa hodari iih
Nafurahi nilipata nafasi nafasi
Toka kwenye uzao wa hodari iih
Ngoma na ngozi vigoda
Ngoma na ngozi vigoda
Ngoma na ngozi vigoda
Ngoma na ngozi vigoda
Ngoma na ngozi vigoda yeah