
Daresalaam Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Yeah
Heaven of Peace
The City that never sleeps
Daresalama my City my love
Mbona kama unatukosea
Zako Bata nyingi tungepotea
Ila Mama zetu wanatuombea
Daresalaam wow wow wow
Daresalaam yeah yeah yeah
Daresalaam wow wow wow
Daresalaam yeah yeah yeah
Warembo wamoto sizani kanliwaona b4
Take a photo vichwani wameshuka na pozz
Iwe Classic au loco chochote utapata ofcoz
Hili Jiji linajoto hizi ice zililifanya lifroze
Shhh Usitaje majina si tupo ndich twachoma
(Choma choma choma)
Mtoto kanona nendanae kweny kona
(Kona kona kona)
Ndo Sukari yao na libadbitch linaSonya
Mchawi hakai mi tunnashusha magoma
Your boyfriend ana sugar mummy
Kazi yake ni gym na cruising
Your Girlfriend ana sugar Daddy
Sababu anapenda michuzi
Ataleta dharau makuzi
Ukikaa kizembe kipuuzi
Utashare sana pass pass pass
Na Wahuni wanapigana miluuzii
MaGhetto ni Trap House kuna house Party
TunaZuka Club fanya Henny Party
Kwenye Apartments fanya pool Party
Twende mbudya iyo beach Party
Fanya yacht Parties, roadtrip Parties
Yes Am in a helicopter heading to the Top Floor Kweny Penthouse all tha girls screaming We love to Party
Daresalama my City my love
Mbona kama unatukosea
Zako Bata nyingi tungepotea
Ila Mama zetu wanatuombea
Daresalaam wow wow wow
Daresalaam yeah yeah yeah
Daresalaam wow wow wow
Daresalaam yeah yeah yeah
Kuna big nyash flat belly
Kuna Fake na zaukweli
Wapo king size hata slim fit
Boti ndogo na mimeli
Kuna all kinds za hoteli
Toka one star hata five stars
Usitoke kwenye reli
Don't fake bro utafeli (Feli )
Si ndo wanaume wa dar (Ahh)
Ni akili nguvu baadae (Ahh)
Ni kula Baga mapiza mavyepe
na Wala sio nguna dagaa (Ahh)
Sinza knyama balaa (Ahh)
Kila kona kuna bar (Ahh)
Barabarani navyo Vyumba vyao
Madada poa wamejaa
Hujafika Ta ba ta, ni mwendo wa ma ba ta
Kamata ba mba ta, utadhani las vegas
Kuja zina kata, Toto zina nata
Gambe tusha pata, ndo moto una fata
Watu wanasaka tu kesh kesh Kila aina ya Uhuni
Watoto wa town ni flex flex Ilala Kinondoni
Unyama unyama ni fresh fresh hatuangalii machoni
Wahuni wachache or desh desh Mtakutana motoni
Daresalama my City my love
Mbona kama unatukosea
Zako Bata nyingi tungepotea
Ila Mama zetu wanatuombea
Daresalaam wow wow wow
Daresalaam yeah yeah yeah
Daresalaam wow wow wow
Daresalaam yeah yeah yeah