Youngest In Charge #freestyle ft. K.O.D x Gracho Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
K.o.d just sent the drop retarliation ain't a one man job
Revenge is sweet tryna share that opp
Tukipull nikubanja no talk ni viding na maying ndo inasolve ulibanja ulikuwa unatumoke
Tokea na ma chargie trio eye witness wakanuo buda form
Day one anahold beef juu ya hoe fala walishaforget the code
Your girl hana your back lil bro though i know i used to break her back (fuck off)
Free ghaka my bro on phone ananishow anacone na experience
Lesson walearn nani ndo boss madawa on me not similar dose
Trap trap sikufunzwa darasa chess movement zangu nmepanga
BMX chochea matanga plug walk wadungwe mashada
shots tukisend tuna make sure hazijahata uki requeat delivery utaipata
Ka ni kuride niko na maghost rider machargie wa me
Hawa believe in karma
On road ka vikings kod magoons wamejipin machette na panga
Joyde anapree feature na hawa mafala kwa net anafake beef na hawa ma capper
We ni bitch pewa banana wacha tuone kanutafika canan
Vitu unasema kwa ngoma ni si tunafanya
Mi na bro nimamonstar ka hulk
Nyi nima lilo and stich
Lilo kibich gotea biggs thou mshow si ndo the next big thing
Ricco nakuaga shirt off ka 2pac kuzifunga nkiwasha usiku kucha
Si hustep ka Megan thee Stalion Savage na geri ya mtu 21 ka savagge
Tunakuchop off ka cabbage ya ng'ombe uskue fala utaonyeshwa wembe
Ufinywe finywe ka sembe street unatolewa izo manyege
Big boss umemuok na mzigo awa mafins wanadai joh dawa
Mathe huniambia ndapagawa too much smoke apo pia opps wanapata
Nililosti motonje mkia writting nmerudi back to paper
Mabroski wamekua scammer shuguli skuizi hupigwa paypal
Mabro wanapush weight indeed bro ako auction anasell kg
Pro kucheza na izi mariz opps scene wanakuaga on the running
Law enforcements on our dick fuck off tufuck up ao masnitch
Nlikua joh etha ya viding after scene shera upigwe stitching
Back to street nkona stash joh kwa panty fuck ao marich kids huvuta dunhill
Ka umeamua ni ngem street ni safari na bado tunalegalize street hadharani
Ukipush kitatamba kwa news suspect on road you wont get me soon
Nliacha kulive by the book sai niko Moyale nakam na magoods
Mabags ni punch 3.5 beba yenye inakusuit
Usikue decieved by the looks agent47 pia huvaanga suit
Nakuaga busy naskia io ni maringo
Ndirau tukipata opp io ni bingo
Kila riomo amejipin stoko
Members tunarep stoke city
Welcome vegas welcome to my city