Marry You Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2022
Lyrics
Iwanna marry you unanichanganya
I wanna marry you unanichanganya sana
Changanya changanya mama unanichangnya sana
Changanya changanya mama unanichanganya sana
I wanna marry you unanichanganya
I wanna marry you unanichanganya sana
Changanya changanya mama unanichangnya sana
Changanya changanya mama unanichanganya sana
Helloo niititkie wee ndoivo nishakuoenda mwenzio
Moyo wangu ushakufata wewe
Nimeshindwa ficha zangu hisia
Ni ngumu kwakuwa moyo uko kwangu hataa
Usinione zoba naomba ombi langu lichukue nikubaliwe
Siku nayo siku mamaa ile siku ikawa siku mamaa
Chumbani usiku mama nako tukajenga siku mama
I love you I love you I love you
I wanna marry you unanichanganya
I wanna marry you unanichanganya sana
Changanya changanya mama unanichangnya sana
Changanya changanya mama unanichanganya sana
I wanna marry you unanichanganya
I wanna marry you unanichanganya sana
Changanya changanya mama unanichangnya sana
Changanya changanya mama unanichanganya sana
Ndoto zangu weee zikitimiaaa
Nitaruka weee nitapagawa
Ndoto zangu weee zikitimiaaa
Nitaruka wee nitapagwaaa
Kumpata ni ugumu na najua kwanini iwe ngumu
Nimekuwa fyetu mwehu kutokana na upendo kunizidi
Ninapandwa na wazimu muda mwingi naongea mautubo kwake yeye
Kumaanisha nimedata kumaanisha nimedata