Nasaka Cash Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Ara Kay..... Amo
Bado na hustle
Nasaka cash
Bado na hustle
Na sikwepeshi eei
Bado na hustle
Nasaka cash
Bado na hustle
Na sikwepeshi eei
Bado na hustle
Nasaka cash
Bado na hustle
Na sikwepeshi eei
Bado na hustle
Nasaka cash
Bado na hustle
Na sikwepeshi eei
Vile unapenda niuliza
Maswali hayo mobu punguza
Mpaka geto nawarusha
Tembeza basi chaukucha
Wapo wanaopenda ni rap tuu
Wengine hawataki ni rap tuu
Kama ni yangu ni yangu
Huwezi kali kiti changu
Vile wanapenda majungu mimina
Hawataki niona na mimi nakimbiza
Hata ukitoa watasema ni mbovu
Yote ukose uonekane muovu
Hata kama mkiponda najua nitafika
Na mungu ataonyesha miujiza
Wengi vilaza na kwenye hii rap
Bado mi nawakimbiza
Najua mtaponda kuniona on the top top
On the top top on the top top
Mimi sio kilaza na ndio mana niko top top
Niko top top on the top top
Uuuuh yeyeh aah god bless
Uuuuh yeyeh aah god bless
Uuuuh yeyeh aah god bless
Uuuuh yeyeh aah god bless
Bado na hustle
Nasaka cash
Bado na hustle
Na sikwepeshi eei
Bado na hustle
Nasaka cash
Bado na hustle
Na sikwepeshi eei
Bado na hustle
Nasaka cash
Bado na hustle
Na sikwepeshi eei
Bado na hustle
Nasaka cash
Bado na hustle
Na sikwepeshi eei
Mitaani bado wananuna
Nikitohai wanachuna
Speed yangu kama duma
Ei
Speed yangu kama duma
Enhe vile nasaka cash vile natuna pochi frresh
Vile nawaka tochi vile nawaka waka tochi
Kama wanakuja wanapima
Kama moto nakuzima
Usijitusu wewe kima
Usijitusu wewe kima
Toka bongo mpaka Jozy
Na hustle kweli sio kindezi
Na kama unaweza mapozi
Huwezi shika hizi cash
Huwezi shika
Nakuendesha ka robot
Mwisho unapiga magoti
Naomba ili nipate wepesi
Niwe top top top
On the map map map
Nyie kama watoto nawatuma
Na mwisho wa mnakuja mnaleta
Na kwangu majungu mnapiga
Wewe kama fatuma tuu
Mwisho mwajuma boo
Na kwangu unaguna mmmh
Ndio kama mwenyezi kabariki
Kipaji kwangu sio unafiki
Na mwisho natoka ni mbio
Nikiamini nitafika God bless
Bado na hustle
Nasaka cash
Bado na hustle
Na sikwepeshi eei
Bado na hustle
Nasaka cash
Bado na hustle
Na sikwepeshi eei
Bado na hustle
Nasaka cash
Bado na hustle
Na sikwepeshi eei
Bado na hustle
Nasaka cash
Bado na hustle
Na sikwepeshi eei