
Utakubali Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Utakubali - jaxboe
...
.........................
iiiieeeeeh
mmmmhhh
mi mwenzako sina si mwenyewe unaona
hali yangu hoe hae mhhh
ni kipi nitafanya kulizisha mama
hali yangu hoe hae mi mmh nataman nikuite
lako jina uenda ukanielewa mama
jinsi navyokupenda sana ww
umezama ndani ya mtima mwengne
tena sitaona vile unavyonichanganya
kma ww nataman nikuonyeshe upendo
tena nikupe mapend ooh baby
Utakubali ugali wa kiporo utakubali
ghetto shuka na godoro utakubali
nyama yetu supu ya kongoro utakubali
tukikosa tutapata tomorrow
umeniteka mama mwengne sitoona tena
usijenda moyo ukasononq ujue nakupenda
nitashidwa hema ammmhh
na kma penzi bahari niogeleee usije enda mbali mi mnyonge nataka nitoe mahari
nikuoe baby mi na ww milele
nataman nikuite lako jina uenda ukanielewa mama jinsi navyokupenda sana ni ww nataman nikuonyeshe upendo
tena ni kupe mapendo ooh baby
UTAKUBALI ugali wa kiporo UTAKUBALI ghetto shuka na godoro UTAKUBALI
nyama yetu supu ya kongoro UTAKUBALI
tukikosa tutapata tomorrow
(natamani nikuonyeshe upendo Tena nikupe mapendo)
kaiza brand0652754020)