
Jina La Yesu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Jina la Yesu ni jina kuu
(The name of Jesus is great)
Lina nguvu ya kuokoa
(It has the power to save)
Nguvu ya kukomboa
(The power to deliver)
Hakuna jina lingine
(There is no other name)
La kufananishwa na lako
(That compares to Yours)
Bwana
(Lord)
Jina lako ni jina kuu
(Your name is a great name)
Jina jina la Yesu
(The name, the name of Jesus)
Ni tegemeo langu
(Is my hope)
Jina jina la Yesu
(The name, the name of Jesus)
Lina nguvu tele
(Has great power)
Jina la Yesu ni kuu sana
(The name of Jesus is very great)
Kuliko majina yote
(More than other names)
Kuliko majina yote
(More than other names)
Kwa imani tunaweza
(By faithwe can)
Kutenda mambo makuu
(Do great things)
Katika jina la Bwana Yesu
(In the name of the Lord Jesus)
Tutatashinda majaribio yote
(We can overcome all trials)
Katika jina lako Yesu
(In Jesus name)
Vipofu wanaona
(The blind see)
Viwete watembea
(The lame walk)
Viziwi wasikia
(The deaf hear)
Na wafu wanafufuka
( And the death rise again)
Sababu
(Because)
Jina lako ni kuu
(Your name is great)
Jina jina la Yesu
(The name, the name of Jesus)
Ni tegemeo langu
(Is my hope)
Jina jina la Yesu
(The name, the name of Jesus)
Lina nguvu tele
(Has great power)
Jina la Yesu ni kuu sana
(The name of Jesus is very great)
Kuliko majina yote
(More than other names)
Kuliko majina yote
(More than other names)
Yesu umeinuliwa
(Jesus You have been exalted
Juu ya majina yote
(Above every name)
Tunao ushindi
(We have victory)
Kwa jina lako Yesu
(In the name of Jesus)
Unajibu maombi yetu
(You answer our prayers)
Tunapokuita Bwana
(When we call on You Lord)
Umejawa nguvu tele eeh ehh
(You are filled with great power)
Wewe ni Yesu
(You are Jesus)
Tegemeo langu
(My hope)
Kimbilio langu
(My refuge)
Mkombozi wangu
(My Saviour)
Wewe ni Yesu
(You are Jesus)
Jina jina la Yesu
(The name, the name of Jesus)
Ni tegemeo langu
(Is my hope)
Jina jina la Yesu
(The name, the name of Jesus)
Lina nguvu tele
(Has great power)
Jina la Yesu ni kuu sana
(The name of Jesus is very great)
Kuliko majina yote
(More than other names)
Kuliko majina yote
(More than other names)