Mimina Afrobeat Remix-Swahili Version Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Ewe Mola twa kusujudu, Ewe Baba twa kuabudu
(Oh Lord we adore you, Oh God we worship you)
Kwa maana ume unyoosha mkono wako
(For it's you who stretches out your hand)
Mkono wako sio mfupi, Wala haujui chuki
(Your reach is never ending, your hand is not hateful)
Sifa zote zita kurudia wewe
(All the glory is lifted up is lifted to you)
Tangu, mwanzo wa ulimwengu Baba
(Ever since the start of life Father)
Upendo wako kwangu ume niajabisha aa
(Your abundant love fills me with awe and wonder)
Sina, lingine lolote, Sifa zote zita kurudia wewe
(I'm speechless, all the glory lifted up is lifted to you)
Oh, mimina, mimina, mimina, mimina, mimina uwepo wako
Baba shukisha, shukisha, shukisha, shukisha, shukisha baraka zako
Oh Oh, Baba, mimina uwepo, Oh oh, Baba, mimina baraka
Hakuna atakaye nite nganisha na upendo wako ewe Mungu Baba
(No one can separate me from your love father God)
Baba, Baba, Baba
(Father, father, father)
Hakuna atakaye nite nganisha na upendo wako ewe Mungu wangu
(No one can separate me from your love father God)
Baba, Baba, Baba
(Father, Father, Father)
Oh, mimina, mimina, mimina, mimina, mimina uwepo wako
(Oh, sprinkle, sprinkle, sprinke, sprinkle, sprinkle your presence)
Baba shukisha, shukisha, shukisha, shukisha, shukisha baraka zako
(Father pour down, pour down, pour down, pour down, pour down your blessings)
Oh, Oh, Baba, mimina uwepo, Oh, oh, Baba, mimina baraka
(Oh, Oh, Father, sprinkle your presence, Oh, oh, father, sprinkle blessings)
Mimina baraka zako ewe Baba, kwa kuwa bila wewe mimi siwezi
(Sprinkle your blessings Father, For without you I'm not able to be)
Mimina, Mimina, Mimina aa
(Sprinkle, sprinkle, sprinkle)
Mimina baraka zako ewe Baba, kwa kuwa bila wewe mimi siwezi
(Sprinkle your blessings Father, For without you I'm not able to be)
Mimina, Mimina, Mimina aa
(Sprinkle, sprinkle, sprinkle)
Oh, mimina, mimina, mimina, mimina, mimina uwepo wako
(Oh, sprinkle, sprinkle, sprinkle, sprinkle, sprinkle your presence)