Kanye Freestyle Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Kanye Freestyle - Marto Lee
...
Nikicheki nilipotoka bado me najivunia
Kupambana kimaisha kushoto na kulia
Ebu cheki uyo dada me namuhurumia
Nimejawa na machozi nahisi tu kulia ayy
God bless me, don't leave me
My life is so bright wanna make it alright
God bless me, don't leave me
My life is so bright wanna make it alright
In this life bro don't stress yourself
If you do a mistake basi learn to confess
Tupige sherehe wako wapi Mbuzi Gang
Hatudai ma-champagne nikukata tu ma-cane
I wanna buy a Lambo nizunguke hii mtaa
Look into mah pocket mfuko zimejaa
Smoking cigarettes pale kejani na relax
Ukipanga kuni-hate hizo chuki na reverse, yeah
Big up to Octo I had to jump on this
My favorite rapper P I double Z
Napumzika tu, nikicheki rada tu
Rusha mikono juu, na tubanjuke joh eh
I don't force myself so I can be your friend
Tangu mbele haunilishi why be my friend
Ukiwa na haraka basi shuka na ukimbie
Ntakupata mbele mbele fika na utulie
Skuizi maklabu hatuendagi kabisa
Utanipata makejani nikimsuka kipusa
Nikimdigida namchekesha
Hakuna kubahatisha kileleni namfikisha
We beba grudges me na beba ganji
Don't give me passes me na wangu manzi
Mahasidi poleni nyie payukeni tu
Ntakuzika topeni we nichokoze tu
Me nawaza billi we unawaza nini?
Basi shika peni na isiwe hata deni