![Uinuliwe ft. Laurent Minister](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/01/07069778d70f40ad85ca0a77115fce7c_464_464.jpg)
Uinuliwe ft. Laurent Minister Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Wema na fazili zako za nifuata
Nuru na ulinzi wako vya niongoza
Wema na fazili zako za nifuata
Nuru na ulinzi wako oh
Ah nilikuwa mbali nawe
Habari njema nilisikia
Ila shetani akaninyatia
Maarifa akayachukuwa oh
Akanifunga kwenye giza
Nuru sikuhiona
Tamaa za dunia nazo zikaniponza
Asante kwakunifungua
Uinuliwe, Bwana upewe sifa
Uinuliwe, Yesu umetukuka
Uinuliwe, Bwana upewe sifa
Uinuliwe, Yahweh umetukuka
Amri zako nitazishika, Nitatembea nawe
Ya dunia nimeyaacha, nitangangana nawe
Najuwa kwako silaha zote nitazivika niashinde ya shetani
Na damu yako, popote napopita itanivika na mabaya
Uinuliwe, Bwana upewe sifa
Uinuliwe, Yesu umetukuka
Uinuliwe Bwana upewe sifa
Uinuliwe, Yahweh umetukuka
Uhinuliwe milele yote
Akika wewe ni mkuu