![Mimi (Asante Sana)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/10/15cae035e38e4d26bedaf3707c55101a_464_464.jpg)
Mimi (Asante Sana) Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
Mimi na piga asanti sana
Kwakunipa njiya iyi baba
Eh we Mungu wangu
Ukuyenami kwakama iyi ni mwanzo eh
Guitari iyi njo maisha yangu
Mungu ashikunipekyo bule
Njo kile ntaimbo mpaka mwisho ya miasha iyi yangu eh
Kumbi wewe unisikiye mimi wewe
Fwata kile roho ina penda
Kwanikile mungu alikupa
Kitafanya ufurai ufurai ufurai
Na mungu baba naye atapenda
Twimbe
Na na na
Na na na na na na
Twimbe we we
Na na na
Na na na na na na
Mimi na piga asanti sana
Kwakunipa njiya iyi baba
Eh we Mungu wangu
Ukuyenami kwakama iyi ni mwanzo eh
Guitari iyi njo maisha yangu
Mungu ashikunipekyo bule
Njo kile ntaimbo mpaka mwisho ya miasha iyi yangu eh
Kumbi wewe unisikiye mimi wewe
Fwata kile roho ina penda
Kwanikile mungu alikupa
Kitafanya ufurai ufurai ufurai
Na mungu baba naye atapenda
Twimbe
Na na na
Na na na na na na
Twimbe we we
Na na na
Na na na na na na