Party no stop Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Party no stop 🅴 - Keypeac Valdyn
...
"Yaga"
Force Team on the beat
"Nigga's"
Keypeac
Ghosmology
Boy Gold
"Bwiza Paradise"
Rafrain: @Keypeac Valdyn
Kwenye Party no stop
Leo niatari , Wazee na vijana wote walikuja Ku Party .
Kwenye Party no stop
Leo niatari , Wazee na vijana wote , Yeeh .
Kwenye Party no stop
Leo niatari , Wazee na vijana wote walikuja Ku Party.
Kwenye Party no stop
Leo niatari , Wazee na vijana wote , Yeeh.
Couplet : @Ghosmology
Aaaaaah Shake Your body ,Shake Your body
Kwenye Party no stop leo ni hatari , Yeeh Aaah, Tumekuja ku Party hapa ni mambo ya peace na sio kwa shari ..
Aaah Yeeh , Hiyi ya leo Hiyi ya leo Maze
Aaah mbona leo ni hatari ata Pastor alikuja ku Party
Wa Toto ni wengi toka kila mahali
Hadi Jini wale wa Chini ya Bahari
Aaah Chini ya Bahari
Kula raha sompaka uwe na Mali
Ata ukiwa na sisi mbona kila kitu shwari
Kula raha sompaka uwe na Mali
Hata ukiwa na Force Team mbona kila kitu shwari
Shake Your body ,Shake Your body
Kwenye Party no stop leo ni hatari...
Refrain : @Keypeac Valdyn
Kwenye Party no stop
Leo niatari , Wazee na vijana wote walikuja Ku Party .
Kwenye Party no stop
Leo niatari , Wazee na vijana wote , Yeeh .
Kwenye Party no stop
Leo niatari , Wazee na vijana wote walikuja Ku Party.
Kwenye Party no stop
Leo niatari , Wazee na vijana wote , Yeeh.
Couplet : @Keypeac Valdyn
Shida tumeziacha mbali
Force Team tumekuja ku Party
Baby Girl sogea karibu na Me nikushike kiuno baby ucheze na Me ...
Couplet : @Issa Dabo a.k.a Boy Gold
Baby Girl Party na Me
Sema unacho taka utapataa
Jiskie uko free na Me
Boy Gold kwangu hakuna Matata
Sexy Girl Dance na Me
Me napenda njinsi unavyo Kataa
Couplet : @Keypeac Valdyn
Baby Girl Shake Your body
You are draming it crazy
Welcome kwenye hiyi Party , Acha ma Poziiiiih Yooo oooh!!!!
Force Team kwenye Party..
Refrain : @Keypeac Valdyn
Kwenye Party no stop
Leo niatari , Wazee na vijana wote walikuja Ku Party .
Kwenye Party no stop
Leo niatari , Wazee na vijana wote , Yeeh .
Kwenye Party no stop
Leo niatari , Wazee na vijana wote walikuja Ku Party.
Kwenye Party no stop
Leo niatari , Wazee na vijana wote , Yeeh.
"Party no stop"
Force Team tuna party nama Shoree
"Party no stop"
Come fast Baby don't goree (Yeeeeh)
"Party no stop"
"Yaga"
Fidepa
"Party no stop"
Ghosmology
(Yeeeeh eeeeh!!!)
"Party no stop"
Force Team are here
"Party no stop"
Manager Dabo Say Yaga
Refrain : @Keypeac Valdyn
Kwenye Party no stop
Leo niatari , Wazee na vijana wote walikuja Ku Party .
Kwenye Party no stop
Leo niatari , Wazee na vijana wote , Yeeh .
Kwenye Party no stop
Leo niatari , Wazee na vijana wote walikuja Ku Party.
Kwenye Party no stop
Leo niatari , Wazee na vijana wote , Yeeh.
"Yaga"
Kay7 aah
Poyta
Divardo
Force Team on the Beat
Keypeac
Boy Gold
Ghosmology
"Kitoko"
Hahahaha !!!!
...............Instrumental ..............