Waonyeshe Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
E ee estukizzy Baby
Yake Dani
Eeeh
Aaah
O ooh
Aiiiii
Are you ready?
Kukomesha
Huhitaji gambe
Ulivyofungasha
Nauliza are you reeeaadyy?
Kunimaliza
Mtot wa kike
Kwa hiko kifua
Aiii
Girl like you, you, you
Mwenye shape la du, bu, bu
Nkukimbize kama ku, ku, ku
Uruke chini ju, ju, ju
Ushanifanyaga zu, zu, zu
Nakufwata kama shu, shu, shu
Ukiniitaga bu, bu, bu
Mtoto haufaiiii…..
Hebu waonyeshe
Waonyeshe
Hebu waonyeshe
Waonyeshe…
Pandisha
Shusha
Katika
Zungusha
Maliza ulichoanzisha
Pale kati unanimaliza
Yani kama naiona, naiona
Ukinipa kama vile Maradona
Mtoto sangoma nimeshapona
Yani naachana na makona kona
You’re my right corner, come closer
Uzi sindano ninavyo ntakushona
Haya sasa ona, wankosha
Ntakuganda ganda mpaka utakoma
Aiii
Girl like you, you, you
Mwenye shape la du, bu, bu
Nkukimbize kama ku, ku, ku
Uruke chini ju, ju, ju
Ushanifanyaga zu, zu, zu
Nakufwata kama shu, shu, shu
Ukiniitaga bu, bu, bu
Mtoto haufaiiii…..
Hebu waonyeshe
Waonyeshe
Hebu waonyeshe
Waonyeshe…
Aaaaahhh ipeleke kwa chini
Aaaaaaaaahhhh ipandishe kwa juu
Mguu mmoja juu, mguu mmoja juu
Mguu mmoja juu
Eeeeeh kamata ukuta
Nyonga, nyonga, nyonga, nyonga
Hahahaaaa