![Siku Yangu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/28/f3e1ab197f8b4d0eb976ffb5e0e0783f_464_464.jpg)
Siku Yangu Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Siku Yangu - King Praizer
...
eeeeh eeeh
King Praizer again
sean on the beat
Praizer nakesha kuomba
Vitabu naishi kusoma
na muda wazidi kusonga iyieeh
Bado niko kwa giza
kanisani sadaka natoa
angalau mi nipate ndoa
nisiishi kimadoadoa iyieeh
Bado niko kwa giza
Imani yangu ishakwama kwako bwana eeeh
Nyumba yangu nitaijenga aaah
watoto wangu mimi nitawalea aaah
na gari langu yoh yoh nitaendesha mimi
eeeeh
siku yanguuuh
siku yanguu
siku yangu mimi
nitainukaaa
siku yanguuuh
siku yanguu
siku yangu mimi
nitainukaaa
eeeeeh
siku yangu mimi bwanaaah
itafika lini eeeh eeeh
nina imani kwakooooh
eeeh
moyo wangu nahisi umevunjika eeeh eeh
umevunjikaa
wewe utanituliza yoh yoh yoh
utanitulizaa
binadamu ashaniangusha eeeeh eeeh
ashaniangushaa
wewe utanipandisha yoh yoh yoh
utanipandishaaa aaah
Chineke eeeh
hubadiliki
maisha yangu
nasurrender kwakooh
eeh Yahwe eeeh
eeh Yahwe
eeeh Yahwe
unaweza yote eeh
siku yanguuuh
siku yanguu
siku yangu mimi
nitainukaaa
siku yanguuuh
siku yanguu
siku yangu mimi
nitainukaaa
Masomo ilifika kikomo
maisha kanipa kisogo
kila mara sukuma kokoto
yoh yoh
naumia mgongo
sina hata kigogo
nalia kama mtoto
asubuhi rauka majogoo
yoh yoh
nakula ukoko
Imani yangu ishakwama kwako bwana eeeh
Nyumba yangu nitaijenga aaah
watoto wangu mimi nitawalea aaah
na gari langu yoh yoh nitaendesha mimi
eeeeh
siku yanguuuh
siku yanguu
siku yangu mimi
nitainukaaa
siku yanguuuh
siku yanguu
siku yangu mimi
nitainukaaa
hujaniacha mi mwanao bwanaaaah
ahadi zako
ni za milele bwana aaaaah
fadhili zako zako ooooh