
Upoze Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Upoze - Mica Rd
...
Sometimes
Love is everything
.......
Love is everything
Love is everything, baby baby
Chillaxy Beatz
I wish Kama
iwe zawadi i was been waiting for my life
uwe pekee Yako
zile ndoto ninazoota Kila siku zikatimia
I need someone (like you)
nishapita nikaona tu wengi wapo
I need one wife
nishakuona mwenzangu na moyo wangu usharidhia
Naamini pale pale (pale)
kilicho andika na Mungu hakuna wa kukipangua
amini mimi ni wako ivo
hata kama nishakuwa mbali na wewe
Hata Pete sikuwamadi
kuikosa kidoleni Mimi sio wako
ushaapa mara Saba huo moyo hauwezi kurudi nyuma
basi mwenzako naongeza
mahaba
mazito na wewe
we upoze , (wewe upoze)
we upoze , (wewe upoze)
........
Kama Kuna mwisho kuwaza kupenda nimefika mwisho Kwa wew
Sina waswala hasa pa kwenda nimefika kwako nielewe
hata kama ukichaa sitojali nitashika gaiter niimbe na wewe
penzi letu nikamate
sitoweza kulipata Kwa sandakalawe
nikipanda nikishuka
Bado nitakuwa na wewe
nikapata nikikosa
Bado nitakuwaza wewe
You are the story of my dream
something there for me
I feel the way you love me
baby where , oooh baby where
basi mwenzako naongeza
mahaba
mazito na wewe
we upoze , (wewe upoze)
we upoze , (wewe upoze)
I miss everything baby
I do like you
I feel fine you
To be with you