Uwezo ft. Scar Mkadinali Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Number kumi mi ni king kong
Hapa kule kama ping pong
Jo nikubaya vitu ni dire
Vile natema na kata ma wire
Bado na dishi ki bona petie
Nikisota nina shika mathree
Mungu amenipa uwezo natema
Navile nakuja wasee wata tii
Nawafunza niite K SHAKA
Nawa murder niite KING KAKA
Na sare warazi wacheki wilenakuja
Ju minatema vile mi hutaka
Bado na temea Lion Of Judah
Nakafunga utafikiri Huda
Wakifikiri watani Kalisha
Bado Maluda navuka ukuta
Nimekuwa niki safisha rada mbaka today ey ey
Ju vile na murder hii beat hawa wasee wata pay
Basi tungade na rieng colabo nda piga na BIEN bien bien
Ahero nyasae matek upendo amenipa mangeny! ngeny ngeny
Nawa rora kama FRANK NITI nime rudi na na feel fiti
Mungu nakushukuru kwa uwezo ndio maana kila siku niko litty
Nachapa kazi here we dont play, ni murder kwa track ki O.G
Ukifikiri na play buda enda uka ulize MOTIFF
Nipe uwezo, vile na enda napigana daily
Nipe uwezo, wanani saka nakimbiza daily
Nipe uwezo najua ndafika niko rada daily
Nipe uwezo MUNGU NAJUA UTANIPA UWEZO
For real
Nipe uwezo nmechoka na maisha ya kuchoma kwa rental
Nipe uwezo ni nunulie matha ka shamba alego
Nipe ki benzo JAH JAH kwani nita shinda nime tembea na sandals
Nipe sinego ulisema nkitaka niitishe ntapewa we fanya vitendo
Mbona hawa watu wakiniona wana semanga minakuwanga M-RONG rong rong
Lakini we huonagi mwili una angali roho roh roh
Na this time nime behave baraka zikuje kwa ndo
Nime enda rave na si ju ya party nlikuwa na show
Mashida yani me ive been there hata yesu haku pendwa na ma Afande never
Waambie ukweli ndio waumwe kwa hiyo ngeli si shetani ashindwe
Na works tuki kosa tuibe zi TUOMBE
Tuki plan vile tutawa toa nje bizz TO DONGE
Nipe uwezo, vile na enda napigana daily
Nipe uwezo, wanani saka nakimbiza daily
Nipe uwezo najua ndafika niko rada daily
Nipe uwezo MUNGU NAJUA UTANIPA UWEZO