THE WORLD IS MINE Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Yeah!
Siku zote mnaniona nikiinuka japo fursa huja na kuondoka
Kiukweli sikutegemea kama nitafika hapa nilipofika saa hii
Nataka kuzungumza na kila mmoja
Na kukuambia juu ya hadithi yangu
Nilikotoka
Am the voice
Am the vessel
Mi ndo living testimony
The fresh price
The King himself men
Unajua
Sometimes nafanya kazi kwa bidii ili watu wazione na
Niweze kujua kama nafanya kitu sahihi au nakosea
Ila siku zote ilo ndo limekuwa kosa langu kubwa kufuata kila ushauri ninaopewa
Kujali watu wengine wanasema nini kuhusu kazi na maisha yangu kwa ujumla
Niko hapa kuwambia wote kwamba
unaweza kufanya lolote ukiufuata moyo na akili pia
Inabidi kujiamini
Kufanya kazi kwa bidii na kutokufuata kila kitu mtu anachosema
Niko hapa kuomba nafasi mbele ya ulimwengu mzima
Dunia ni yetu sote na nitajitoa kadri niwezavyo
Kwa kila mtu anayeniamini Mungu ambariki na Mungu azibariki ndoto zangu
This life in Africa you gotta maintain yo past
I know a couple of people who are living like it's race
They're moving fast
They quickly crash
After that
They go insane that's why i choose to focus on my path
Ain't no go back to the days i was down bad
But now they're scared they fear they feel like am next
Am tryna be better one day am gonna be the best
I believe in my self more than anybody else
BUBEX
BubexWORLD FOREVER
THE ONE GENERATION
REAL NIGGAS DO GREAT THINGS IN EASY WAYS AND GET PAID