Raha Lyrics
- Genre:Benga
- Year of Release:2022
Lyrics
Raha - ice melody
...
mmh! baby
i just want to tell you how much i love you
and how i feel shiiiiii
ooh! baby! kweli unanipenda! au unanitania?
natamani kujua
oooooh! baby! siku ukienda
akili utaisumbua
na moyo haujatulia
mwenzako me, ni mshamba wa mapenzi hivi unajua.? si unajuaa
baby unajua
halafu baby baby "halafu"
i love you baby "halafu"
bila wewe mie siwezi
ooooooh! baby baby "halafu"
i love you baby "halafu"
bila wewe mie siweeezi
chorus
kupendwa raha
mapenzi matamu
kwa haya mahaba
me nashiba
kupendwa raha hivi
mapenzi matamu
kwa haya mahaba
mi nashiba
music
wanaosema mapenzi mabaya
labda hawayajui
hivi ndo haya
mbona mwenzenu me naenjoy
ananipa mchana
ananipa jioni
ananipa na asubuhi
wala haofii
ameniziba macho
wengine siwaoni
na tena sisikii
kumpata sijutii
ooooooh! baby baby "halafu"
i love you baby "halafu"
bila wewe mie siweeezi
chorus
kupendwa raha
mapenzi matamu
kwa haya mahaba
me nashiba
kupendwa raha hivi
mapenzi matamu
kwa haya mahaba
mi nashiba
mahaba kama yooote
music
e jah bless