Jojo, I Love You Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Jojo, I Love You - Danileor
...
Ooh Dani, eeah ahaaa.
(It's Biorn Baby)
(Papa)
Verse 1
Ukiona vinono kamoyo kanapepea, chenji chenji sina,
vumilia,
huenda kesho zaja,
Kutamani vitamu daily utapotea, uwezo huo sina,
fikiria,
vya muhimu tuikidhi haja.
Ooh.
Si unajuaga Mungu, hamtupi mja wake?
Lengo langu, tuwe wafuasi wake,
Misongo mwisho uchengu, Ooh basi jichunge niiepuke,
Oooh
Mauchungu, ya maisha tuyaepuke,
Ooh babe
Ndio maana nakuitaga ka Jojo,
(Aiyoo Jojo)
Si unajua napendaga mikogo,
Mhuu mmmh
Sina keki pokea hata dodo,
(Aiyoo Jojo)
Yaani fresh ka,ulaya kumbe Bongo,
Ooh yaani Bongo tuu.
Chorus
I love you ×3,
Aiyoo Jojo,
I love you ×3
Aii Uvumilivu ni muhimu uvumilivu,
Aiyoo Jojo,
I love you ×2
Mmmh I lo-o-o-ve you
Verse 2
Mmmh, mmmh
Na haya ndio maisha yangu, univumilie mammy,
Wala me sio chengu, anayepanga Maanani,
Kama ridhiki kweli ni mafungu, tutatoka juani,
Ooh, basi tutafute kwa machungu, aone wivu na fulani,
Na ile misifa ya Amber Ruti,
Au wema kupiga kupost picha Uchi.
Don't copy and post,
Ya Paula kajala utaijutia nchi.
Nipe nafasi kwa seat,
Nikitoka Bukoba ni ndizi parachichi,
Na pigo zangu haujutii, Ooh,
Bi Jay, Bi Jojo nipende me mbichi.
Chorus
I love you ×3,
Aiyoo Jojo,
I love you ×3
Aii Uvumilivu ni muhimu uvumilivu,
Aiyoo Jojo,
I love you ×2
Mmmh I lo-o-o-ve you
(Papa)
Aaah Haaa, mmmh mmmh
Mmmh I love you, uuuuh, (Aaah Haaa, mmmh mmmh)
I love you, uuh
Uuuh I love you (Aaah Haaa, mmmh mmmh)
Aiyoo Ooh Ooh mamaa aah Haaa
Aiyoo Jojo