Donate ft. Bennareez Capello Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Donate ft. Bennareez Capello - Chizybusy
...
"Donate" ChizyBusy ft. Bennareez Capello:
Verse One (ChizyBusy):
Imeniletea Balaa...
Tena Chungu Nzima...
Ningejua Basi Ningekataa...
Nisije Nikaumizwa Mtima...
Shida Za Kujitakia... Nazidi Kukonda Sababu Ninalemewa Na Fikira...
Na Nimekosa Uwezo... Wa Kupenda Tena...
Ningekuazima Moyo Kwa Dakika Moja Tu...
Ili Uhisi Ninavyohisi Kwa Dakika Moja Tu... Uuh.
Chorus (ChizyBusy):
Moyo Wangu Me Nadonate...
Staki Mapenzi Nitaangamia...
Na Tena Sitawahi Kuhate...
Najifunza Kutopenda Bila Kuchukia...
Me Nadonate iih...
Staki Mapenzi Nitaangamia...
Na Tena Sitawahi Kuhate...
Najifunza Kutopenda Bila Kuchukia...
(Beat Break)
Verse Two (Bennareez Capello):
Aah...
Situation Innah Mih Head
Going Sticky Innah Mih Hands...
Singedhani Ningemlose, Yeah I Gave Her Greener Lands...
All The Love In The Air...
She Never Cry No More... Hey..
She Broke It Down!!! What Am Feeling Innah Mih Heart... & I Never Can Tell... Hey!!!
What Am Feeling Already Piercing Innah Mih Soul & I Never Can Say...
Cause I Thought I Was The Main Mannn
Everytime I Call She Never Call Back... And
We Found Love On A Manger...
She Went For The Cash & Never Looking Back Yeaaaaaah...
Chorus (ChizyBusy):
Mmmh!!!
Moyo Wangu Me Nadonate... iih!!!
Staki Kupenda Nitaangamia...
Na Tena Sitawahi Kuhate... iih!!
Najifunza Kutopenda Bila Kuchukia...
Me Nadonate Donate!!! Me Naaa...
Staki Mapenzi Nitaangamia...
Na Tena Sitawahi Kuhate... Kuhate!!!
Sitawahi Kuhate iih iiiih!!!
Najifunza Kutopenda Bila Kuchukia...
Tarara... Raraarah...
Sitawahi Kuhate iih... Mmm... Mmmh!!