Waupendo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Baba aaah aaah ×3
Alishika kitambaa mkononi akanifuta na machozi
akanionyesha na njia ya kwenda aahh mmhh na ile hofu ya jana kesho isijirudie akanambia yeye yupo na hakuna ashindwalo,
na wakati wa magumu
yeye ndio mfariji wangu
maana yeye halalii na wala hasinzii ,
Amenifanya kila siku niwe makini
Moyoni nina amaniii
Nikisha kuishia imanii,
ninajiona wa thamanii
kwani yeye ndio jibu langu
ananijibu kwa wakatii,
Mfalme wangu uuuhh
Wa upendo Baba wa upendo ooohhh×4
Kwenye jua alinipatia kivuli
Na kwenye mvua alinipa mwamvulii
Amenipenda me kwake sina kiburiii acha nimuimbiee
Haipiti saa me sijkutaja
kwenye shida yangu we hutaniachaaa
Kwenye giza taa we unaiwashaa nakiri upendo wakoooo eehh
Baba wa watoto wakee
ila bado hajanisahauu
Baraka zako nazipata aahh
Kwani yeye jibu langu
Ananijibu kwa wakati iiihh
Mfalme wangu uuhh
Wa upendo Baba wa upendo oohh × 4
Haipiti saa mi sijakutaja aah
Kwenye shida, njaa we hujaniacha
Penye giza taa we unaiwasha aah
Nakiri upendo wako ooohhh