Mr. Maisha Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2022
Lyrics
Hello there, old friend
Habari ya kupotea
Tumefika mahali umeanza kunizoea
It's been a long time
Since we last spoke
But since then you've started treating all this like a joke
No, it's not funny (Sicheki)
Nimechoka na kungojea baraka hazifiki
No, it's not funny (Sicheki)
Mbona wanitesa na nje kunanyesha
Mr. Maisha
What are these things you put me through
That I did not sign up for
Mr. Maisha
Nimechoka na kuchoka na maisha yangu aki
Mr. Maisha
(Heeeyy)
Mahali tumefika urafiki itaisha
Mr. Maisha
Mr. Maisha
Tuheshimiane brathee
Ulisema nikifika twenty-two mi ntakua millionaire
Na wapi boyfriend wakunipa kizunguzungu
Napatanga tu ma player
Can't you see it's not fair
I'm working out eating right
Still, you don't care
Natumia mafuta wa nazi kila siku
Na bado nywele haijamea
(Fuck)
No, it's not funny (Sicheki)
Nimechoka na kungojea baraka hazifiki
No, it's not funny (Sicheki)
Mbona wanitesa na nje kunanyesha
Mr. Maisha
What are these things you put me through
That I did not sign up for
Mr. Maisha
Nimechoka na kuchoka na maisha yangu aki
Mr. Maisha
(Hee - eeyy)
Mahali tumefika urafiki itaisha
Mr. Maisha
Mr. Maisha
I want more
More out of this life (Give me more)
I want more
More out of this life (So much more)
More, more
More out of this life
This life, this life of mine (I want more)
I want more
More out of this life (Give me more)
I want more
More out of this life (Ohh so much more)
More, more
More out of this life
This life, this life of mine
Mr. Maisha
What are these things you put me through
That I did not sign up for
Mr. Maisha
Nimechoka na kuchoka na maisha yangu aki
(oohh oouu)
Mahali tumefika urafiki itaisha
Mr. Maisha (Mr. Maisha, sir)
Mr. Maisha