Nyasubian Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Nyasubian - Chiddy Mentary
...
louder ..
Nyasubian boy ..chiddymentary
holaaa!
ni wanchiwanchi yani chocho kama chinga
watu wa duarani, sio kuzama zama uvinza
sisi day one Nyasubi anatoka bingwa! Chidi kama pesa hakuna askari anamlinda!
Nyie ni moshi usio nastimu ka foggy, kama ni movie sebugi, kama umesahau password basi nyasubi hau logg in, utachezwa lipara kinyozi, yani madiba majozz, utasingiziaga anatoggy kumbe mnaishi kwa fogging
kazi kazi kwenye utumiaji mtatuona mabishoo!
watu smart watu safi hatuna pigo za kifooo !
pisi safi U.T.I kaitafute kwenye chooo
ukihitaji wenyasubi wenyasubitu njooo
sijaona rapper mkali kushinda rapper wa nyasubi yan.
sijaona watafutaji kushinda watu wa nyasubian.
sijaona demu mkali kushinda demu wa nyasubi yan. (sijaona Yani sijaona Yani sijaona).
ukinikuta dar (mimi ni Nyasubii),
ukinikuta tanga eeh (mimi ni Nyasubi)
niko mwanza mwanza (mimi ni Nyasubi eeh!)
ukinikuta chuga eeh(mimi ni Nyasubi
mimi ni Nyasubi mininyasubian, mimi ni Nyasubi minyasubiani, Nyasubi nyasubian, mi Nyasubian, mi Nyasubi Nyasubian.
aah!msini chase I'm getting cash'na
nna verse hazi Nasi'na
uni dash nijae mazi'ma
huniwezi hata ukipi'ma
utazama urefu waki'na
hazikabi kina ami'na
Chidi kama vile hazi'na
huu moto sioni wa kuzi'ma
wala sihitaji nguvu kutumia kusema wapi nimetoka!(mininyasubi).
aaah! raha na marafiki haziwezi kufanya kibadili lengo!
ngoja uongo boda kwa boda nasaka michongo!
nimekuzwa na wali mandondo
kasila mkoa to bongo!
nikwel nilikuja na begi, leo naelekeza wenyeji!
unachuki unachukinamengi Nyasubi hatokagi ndezi.
yule alisema siwezi, leo ananiona amazing!
sijaona rapper mkali kushinda rapper wa nyasubi yan.
sijaona watafutaji kushinda watu wa nyasubi yan.
sijaona demu mkali kushinda demu wa nyasubi yan. (sijaona Yani sijaona Yani sijaona).
ukinikuta dar (mimi ni Nyasubii),
ukinikuta tanga eeh (mimi ni Nyasubi)
niko mwanza mwanza (mimi ni Nyasubi eeh!)
ukinikuta chuga eeh(mimi ni Nyasubi
mimi ni Nyasubi mininyasubian, mimi ni Nyasubi minyasubiani, Nyasubi nyasubian, mi Nyasubian, mi Nyasubi Nyasubian
e'naaa now I need no introduction right here right now (right!)
call me nyasubian aiishii!
nikute Manzese (mininyasubi)
niko Ngarenaro eeh!(minyasubi)
nikute ujiji(minyasubi)
majengo sokoni eeeh!(minyasubi)
nipo zangu mbeya (minyasubi)
ama langolango eeh(minyasubi)
nikute nyasubi (minyasubi)
Nyasubi Nyasubi.