Foreign ft. Buruklyn Boyz Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Pull up na Benzo, pull up na Benzo huh, of course n'taitana
Nina bimmer imejaza foreign marijuana
Pull up na Benzo, pull up na Benzo huh, of course n'taitana [Pull up
Nina bimmer imejaza foreign marijuana [Yeah

Mi ndio ule denge mgenje
Na si ati njaka na majenge
Hata kama wako kinenge
Tutoe hii ganji kwa kibenje
Undercover na kamenjе
Bella clavo mpaka stenje
Kijithri, pithri, ju fala alitokwa katеnje
Na rende, nadai kuomoka ka nonsense
Mandai moroto finances
Na buy mogonda na assets
Ndio ni kwa massionate
Ka ploti, Obama na operate
Saa hii nimesimama silipi rent
Na venye nafanya ni different
Washa net, hotspot
Nanyonya njuang'a na ma-sore throat
Washa joto
Nachora saba kimangoto
Tuna hotbox, more smoke
Itabidi tufungue hio drop top
Fuck it, fuck it, ukileta hio ufala hio shingo na chop chop
Ukidai kunichota nakuekea mchele na ngiri inapiganga
usipo ni kanja natoanga zogo huh
Niko soko by force mi mdogo
Sijai pata adi popo
Usiku sacco kama doch na bado utapata nimevaa ma-digolo huh
Pull up na Benzo, pull up na Benzo huh, of course n'taitana
Nina bimmer imejaza foreign marijuana
Pull up na Benzo, pull up na Benzo huh, of course n'taitana [Pull up
Nina bimmer imejaza foreign marijuana [Yeah
Pull up na Benzo, pull up na Benzo huh, of course n'taitana
Nina bimmer imejaza foreign marijuana [Yeah
Pull up na Benzo, pull up na Benzo huh, of course n'taitana
Nina bimmer imejaza foreign marijuana
Pull up na Benzo, pull up na Benzo, na si KDD
Number plate M.R.I.G
Nikiwasha full light ni ma LED
Yes of course na ma enemy
What the F are you telling me?
Strawberry na cherry please
Life so soft, only party me
Hii trap ni fire ni cold M. Right, Ajay na Dyana Cods
Niko, niko life of blings na ka imenibamba hio wire na cope
No tinted, mi na black out benz
Bad bih anadai ku-hop in a Benz
Anadai kiss brief, anadai kiss brief, nah nah hii ni ya
BBS ndio huskii nimetoka car wash na ni horn na hoot
Na cruize ina bimmer, na cruize ina bimmer
Inacheza foreign marijuana

Na cruize ina bimmer inacheza foreign marijuana
Pull up na Benzo, pull up na Benzo huh, of course n'taitana
Nina bimmer imejaza foreign marijuana
Pull up na Benzo, pull up na Benzo huh, of course n'taitana [Pull up
Nina bimmer imejaza foreign marijuana [Yeah
Pull up na Benzo, pull up na Benzo huh, of course n'taitana
Nina bimmer imejaza foreign marijuana [Yeah
Pull up na Benzo, pull up na Benzo huh, of course n'taitana
Nina bimmer imejaza foreign marijuana
Huh, tuko kwa bimmer tukiset marijuana
Back seat nimebuy
I'm overloading kama kariana
Tuko hot kwa benz on, hatuezi chekiana
Niko drop top, seeing niki aje?
Nimepull up na yella, skin ni ya Arab
Akiskia Drill anadrop ka tarab
Niko kwa bar sijadoze ju ya alarm
Yo, hii ni B boyz na Dyana na tumestick to the code
Tuna ball, tuna own hii court
Time is money, hatu-waste hii clock
Tunaziwasha renga, hatutoi lock, hatupigi shock

Sinsima, who got the keys to my bimmer
Huku ma-shawry wanadai kuririma
Wamenishika wanadai kuni—