Jayoh Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Jayoh - Avriih Simba
...
yeye avriih simba wewee napiga goti yarabih nijalie adhabu ya kaburi ni hepushie najiona mjanja mpumbavu mie Na Sara tano msamaha ahusikie
mimi bado nampenda anihurumie mwili umefubaha najutia miee eeeh
tatizo niseme ni utoto ama ujana ndo bado una nizuzua
nilimpa nyingi changamoto nikikumbuka huruma Na muonea(vibaya)
nilimnyima sana muda sikuwaza sikujuwa kama Na muhumiza(yeyeeeh)
nilichange sana punda Ag baby niliteleza
ona machozi yanitililika (aaaaah)
Na magongo kiwete natembea(aaaaah)
Na wendo ya kwangu tiba umesepa umenisusia
nimekiri kosa hadhabu nikali nisamehee
si vyema ukanitesa hali yangu si shwari huruma nioneee
mi pia ni binadamu madhahifu nimejaza chungu kibonde eeeh
wandoto Na kuotaga ni wewe sioni mwengine heee
jayoh jayoh jayoh fahima jayoh jayoh ja yoooh ×2
jayoh jayoh jayoh fahima jayoh jayoh ja yoooh×2
nagiza kimeingia sioni wa kwangu mie makunikumbatia
kipupwe chawadia nifumbapo picha za nirudia (huuuu)
nayakumbukaga ya kaleeeh penzi lako si feki nilifurahiya
Yale mapicha picha mi mate na kesha Na mezia
mwendo kasi ni mepaki ya tosha umesha niadhibuuuh Na sito post insta statuts (m'sorry baby i'love uuuuuuh!!!)
nimekiri kosa hadhabu nikali nisamehee
si vyema ukanitesa hali yangu si shwari huruma nioneee
Nami pia binadamu madhahifu nimejaza chungu kibonde eeeh
wandoto Na kuotaga ni wewe sioni mwengine heee
jayoh jayoh jayoh fahima jayoh jayoh ja yoooh×2
jayoh jayoh jayoh fahima jayoh jayoh ja yoooh×2
mwendo kasi ni mepaki ya tosha umesha niadhibuuuh Na sito post insta statuts (m'sorry baby i'love u).