Free the style (911) Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
ZedaI
The JedaI
Drop It All
Kwanza nianze na swahili
Lugha ya mtaa
Lugha ya mabossman
Lugha ni ya masaa
Lugha inafanya
Mafalah malover mahater maballer
Wapigwe na butwaa
Poza kwanza moto
Punguza tu kidogo
Hewa motomoto
Pewa jotojoto
Tumekaa front line base na manafiki
Tunacheza online chase na mashabiki
Am real i am realer
Wanna heal am healer
See me through the windscreen
See me through the bila
See me through the real take
See me familia
See me fanya long chase
See me adisia ah!
911
911
911
911
Midomo ni moto wankula sima la kaa
Mishale ni mingi na bado mimi napaa
Na bado mimi nang'aa ng'aa
Si siri ni babaa
Mikingi misingi na bado sisi ni kang kaa
Bado sisi ni wale waligombea
Bado sisi ni wale tu kijokes tulitokea
Sisi ni wale tu kijokes tuliponea
Mimi mkali ninahop sitazoea
Nikona assignment
Hii ni promotion
No longer sticky baby
Mimi ndio lotion
Mimi ndio portion
Inadevotion
Ninye muzinga men
Ninye mutoto... Wueh!
911
911
911
911
Hii hii
Hii muziki hii hii
If you believe it
Say it like you mean it
Say it like ni past imepass Imegive in
End of the start yeah
End of the begin
Onaa
Winda uone
Winda uone
Winda uone chapaa
Winda uone mambo safi safi vile inakaa
Shika uone ni mapatipati kwenye kanga
Piga uone maskini jasiri kwenye handas
Maskini jeuri till the day that you pay me
Must be the ceiling with the way that you aiming
Must be the feeling with the way that you shaking
Breaking that neck yeah
Awaking the saints yeah
911
911
911
911
come on and drop it all
i know you got it all
come on and drop it all